22.11.13

Sunday, May 09, 2010

SIKU YA MAMA DUNIANI...

Huyu ndiye mama ayemzaa Hugoline Martin a.k.a DJ Choka, anaitwa Prolimina Kitaly Mtambachuo. Katika siku hii ya mama duniani napenda kusema nakupenda sana mama na sina cha kukulipa kwani umevumilia mambo yangu mengi, umepata tabu nyingi sana katika kunilea mimi pamoja na wadogo zangu watatu wanaonifuata.
Hapa mama alikuwa na mdogo wangu wa mwisho anayeitwa Judy maeneo ya Kilimanjaro(Rombo)

Hizi ni picha zangu tofauti tofauti wakati nakuwa..nashangaa haya matege yamepotea bwana daah kweli mabadiliko ya mwili yanakuwaga na miujiza.

Hapa nikiwa na mdogo wangu anayenifuata anaitwa Jack Mtambachuo...enzi zile zakusoma shule za CCM, unakalia mawe na kubeba kikombe cha uji.

Mama akiwa kwenye mwonekano wa mwaka 2010.

Eti jamaa amekuwa na mpaka sasa anaitwa Dj Choka aka Mr. Apetite...
Thanx mama.

7 comments:

Anonymous said...

hamna anaechukua nafasi ya mama jamani... hongera sana kwa mama wote duniani...happy mothers day kwa mama Hugo M na mama zetu wote.

Faith S Hilary said...

hehehe you look really adorable on ur kid pictures, face haijabadilika kabisa! Happy Mother's Day to all responsible mamas PS: Ur mum is beautiful :-)

Anonymous said...

Wee dogo unakimbilia wapi? hebu muangalie mama yako alivyo halafu ujilinganishe na wewe, punguza kulakula Bwana, Mama yako bado anadai kabisa na anonekana mbichi kabisa lakini nikikuangalia wewe utasema ni mdogo wake vile kumbe ni mwanawe, hebu punguza hiyo kulakula usidhani sifa kujiita Mr. Apetite.

KHALID

Anonymous said...

lovely and touching pic and stories, you made me cry! am sure you mama she is proud of you,and pround of you too. happ mums day

Anonymous said...

hahahaa mkubwa kumbe zile mzuzu za mama ulizibana toka long time, big up mama choka!

Anonymous said...

hahahaha!! nıcca u made my day todae.. lıle tege nalıomba...

Anonymous said...

Nice presentation Choka,..nimeipenda! CNDA KING