Na Livingstone Mkoi aliyeko Mbeya kwa sasa
Ule uzinduzi wa kiota kipya cha burudani Mkoani mbeya kilichokuwa
kikisubiliwa na mashabiki wengi hatimae umefika ambapo New Maisha Club
inatarajia kufungulia wiki hii kwa burudani za iana yake huku Mbunge wa
Jimbo la Mbeya ambae pia ni muhasisi wa muziki wa kizazi kipya Mh Sugu
akitarajia kuwepo.
Akiongea na mwandishi wetu kwenye mahojiano maalum meneja burudani wa
kampuni ya Entertainment Masters Ltd Hemed Kavu HK alisema “ Ni kweli
kabisa Jumatano ya wiki hii tunafanya utambulisho wa Club yetu ya New
Maisha Club Mbeya ambapo maandalizi yote yamekamilika ambapo imebaki
kazi moja tu kuwapa wanambeya burudani waliyokuwa wanaisubiri kwa hamu”
Alisema kiongozi huyo.
Hata hivyo Hk aliongeza kusema kuwa katika uzinduzi huo pia wamepanga
kumualika rais wa jimbo hilo la Mbeya mjini ndiko ilipo Club Maisha
Mbunge kipenzi cha wakazi hao Mheshimiwa Joseph Mbilinyi “ Sugu” ili
kumuarika nao “ Ni kweli tumemuandalia kadi ya muariko Mheshimiwa Sugu
kwa maana moja tu ni mmoja wa waasisi wa muziki wa kizazi kipya hivyo
tunaamni uwepo wake utaongeza chachu ya burudani kwa siku hiyo”
Alimaliza kusema
Aidha mwandishi wetu alipata wasaha wa kuongea na Dj nyota Afrika
Mashariki na kati ambae anatarajia kuongoza mashambulizi ya burudani
kwenye mashine “ Pioneer” Dvj Majey a.k.a Dad “ Brother sisi kama
Xtreme Jeejayz huwa hatuna maneno mengi kazi yetu moja tu kutoa burudani
hivyo historia ndo hiyo kama tulivyofanya Dodoma, Dar, Mtwara na hapa
Mbeya napo tutafanya vivi hivi wananchi waje tu kwa wingi watajionea
balaa la xtreme Jeejayz kwenye mashine” Alisema Dad
Pia Club hiyo imetoa ratiba ya burudani zote kwa wiki kama ilivyoonekana
kwenye flayer hapo juu na burudani zote hizo zitaambana na disko kali
toka kwa Xtreem Deejayz kila siku.
3 comments:
Kumuarika nao au kujumuika nao?????
Kadi ya mwaliko,sio muariko......anyway karibuni sana
Mindu wa tbl mbeya,babz sio sehem ya kugawa vipeperushi vya maisha,tutakufira.......rudia uone k la mama yako.
Ahahahahahah namjua mindu huyo ni ms***e sn ana sifa sn wakat ni dereva tu wa tbl khaaaaaaa
Post a Comment